Sätze/Fragen
Stufe 1: für Anfängerinnen und Anfänger
1. Mimi jina
................
Bwana/Bibi Schmidt.
(A)
lako (B)
lake (C)
lenu (D)
langu
2. Jina lako
................
?
(A)
nini (B)
nani (C)
wapi (D)
gani
3. Habari
................
watoto?
(A)
nini (B)
la (C)
ya (D)
za
4. Mimi
................
Ujerumani/Uswisi/Austria.
(A)
ninatoka (B)
unatoka (C)
anatoka (D)
tunatoka
5. Wewe unatoka
................
?
(A)
nani (B)
nini (C)
wapi (D)
gani