Swahili - Grammatik
Verneinung des Präsens
Stufe 1: für (gute) AnfängerInnen
Bitte klicken und dann verneinen Sie die Verben in Klammern!


Beispiel: Mimi (kujifunza) sijifunzi Kiingereza.

(1) Sisi (kupenda) bia.
(2) Sasa mimi (kuandika) kitabu.
(3) Wewe (kusoma) gazeti?
(4) Mimi na Bwana Martin (kusema) Kifaransa.
(5) Mtoto (kujua) kusema.
(6) Wao (kukaa) Dar-es-Salaam.
(7) Nyinyi (kujibu) maswali.
(8) Wewe na Bibi Martin (kula) nyama.
(9) Wao (kutaka) kunywa maziwa?
(10) Yeye (kusafiri) leo.
(11) Wewe (kutoka) Kenya?
(12) Mimi (kufanya) kazi.

////