Swahili - Grammatik
Verneinung des Präsens
Stufe 1: für gute Anfänger*innen
Bitte klicken und dann verneinen Sie die Verben in Klammern!
Beispiel: Mimi (kujifunza) sijifunzi Kiingereza.(1) Sisi (kupenda) bia.
(2) Sasa mimi (kuandika) kitabu.
(3) Wewe (kusoma) gazeti?
(4) Mimi na Bwana Martin (kusema) Kifaransa.
(5) Mtoto (kujua) kusema.
(6) Wao (kukaa) Dar es Salaam.
(7) Nyinyi (kujibu) maswali.
(8) Wewe na Bibi Martin (kula) nyama.
(9) Wao (kutaka) kunywa maziwa?
(10) Yeye (kusafiri) leo.
(11) Wewe (kutoka) Kenya?
(12) Mimi (kufanya) kazi.

////