Richtig oder falsch?

Thema: Grammatik/Redewendungen
Stufe: sehr fortgeschritten
Mit jeder richtigen Antwort erhöht sich Ihre Punktzahl.

Una sekunde 60 kusema kama sentensi zifuatazo sawa au si sawa!(1) Kiswahili ni lugha ya kimataifa.
(2) Watoto ni peke yao.
(3) Tansania kuna watu wengi sana.
(4) Tusinunuliwe kitu.
(5) Uwe unachemsha maji.
(6) Tutaondoka kwenda Kenya tarehe saba Agosti.
(7) Milango na madirisha haitoshi.
(8) Twendeni kucheza mpira.
(9) Mkurugenzi alifika kutoka mji.
(10) Mwalimu yukoje?

MAJIBU